Lesson 14: AINA ZA SHAMIRISHO (kipozi, kitondo na ala)
Kiswahili na Mwalimu Ogello
0:00 / 0:00
Lesson 14: AINA ZA SHAMIRISHO (kipozi, kitondo na ala)
8 495 просмотров · 4 года назад
Kiswahili na Mwalimu Ogello
5,63 тыс. подписчиков
8 495 просмотров · 4 года назад
Kipindi hiki kitapasha na kukuza uelewa wa mwanafunzi yeyote aliye na ashiki ya kutaka kuchambua aina zote za shamirisho katika sentensi. Kimepeperushwa kwa sauti nyororo iliyofungamanishwa na viziada lugha kochokocho ili kurahisisha mawasiliano. Katika kipindi hiki, mkufunzi ataweza kuelewa aina zote za shamirisho - kipozi (yambwa tendwa), kitondo (yambwa tendewa) na ala (yambwa kitumizi). Pia mwanafunzi ataelewa sifa na majukumu mbalimbali za yambwa katika sentensi.