#2 Kitabu Cha Twahara: Mlango wa Maji || كِتَابُ الطَّهَارَةِ: فَصْلٌ فِي الْمِيَاهِ || AbdulRashed
Zad Foundation Tanzania
0:00 / 0:00
#2 Kitabu Cha Twahara: Mlango wa Maji || كِتَابُ الطَّهَارَةِ: فَصْلٌ فِي الْمِيَاهِ || AbdulRashed
389 просмотров · 2 недели назад
Zad Foundation Tanzania
716 подписчиков
389 просмотров · 2 недели назад
Swala, Funga na Hijjah hazina maana bila msingi huu!
Kabla ya kujifunza jinsi ya kutawadha na kusafisha mwili kwa maji, je, moyo wako ni safi kutokana na shirki?
Usafi upo wa aina mbili: usafi wa mwili na usafi wa moyo.
Unaweza ukawa na udhu kamili, lakini matendo yako yote yakawa hewa mbele ya Allah ikiwa hujasimamisha uti wa mgongo wa Uislamu: TAWHEED na SHAHADAH (لا إله إلا الله).
Ungana na Sheikh AbdulRashed Alhilaly katika Sehemu ya 2 ya kitabu cha Manhaj As-Salikin, kuanza safari ya Fiqhi kuanzia kwenye mzizi wake mkuu!