DARASA LA SABA WATEMBELEA FUN CITY
FGA TV
0:00 / 0:00
DARASA LA SABA WATEMBELEA FUN CITY
1 125 просмотров · 5 л. назад
FGA TV
9,69 тыс. подписчиков
1 125 просмотров · 5 л. назад
Wanafunzi wa Darasa la saba, Fountain Gate Academy (Tabata Sigara,Dar es salaam) pamoja na Walimu, Walitembelea sehemu ya michezo mbalimbali (Fun City) iliyopo kigamboni,Dar es salaam,ili kuweza kuwapa wanafunzi hao muda wa kufurahi na kucheza,kisha baadae kuendelea na maandalizi ya kufanya mitihani yao ya kumaliza Elimu ya msingi wiki hii...