Jeremy Jeradi - Wakufanana Nawe ( Official Music Video 4K )
Jeremy Jeradi Ministry
0:00 / 0:00
Jeremy Jeradi - Wakufanana Nawe ( Official Music Video 4K )
542 113 просмотров · 11 месяцев назад
Jeremy Jeradi Ministry
101 тыс. подписчиков
542 113 просмотров · 11 месяцев назад
Minister Jeremy jeradi is A Gospel and Worship Minister From East Africa . He is The Founder of WP , Shekinah Experience and The CEO of Jeradi Conceptz.
He Has Released several songs... Like Nimekutana na wewe , umekuwa Nami , baba Eh , Bure ulinikubali and other powerful sounds. Subscribe and always be first to listen when releasing a song
For Bookings Wastapp +254705955599 jeremiejeradi05@gmail.com
WAKUFANANA NAWE BY JEREMY JERADI LYRICS . ( MEANING... NO ONE LIKE YOU )
Chorus :
Wakufanana nawe Sijaona
Wakulinganishwa nawe Baba hakuna...
Wema wako ni mwangaza wa asubui ,
Mawazo yako kwetu ni mema
1 SENTENCE
Wakufanana Nawe sijaona , mwenye nguvu kama wewe... Baba hakuna ,
unafanya mambo ya ajabu ,
unafanya mambo yaku shangaza , mwenye uwezo kama wewe , Baba hakuna
watangaza mwisho kabla ya Mwanzo , hakuna linalo kushinda Yesu , mwenye uwezo kama wewe Baba hakuna...
CHORUS
Wakufanana nawe sijaona wakulinganishwa nawe Baba hakuna
Wema wako ni mwangaza wa asubui , mawazo yako , kwetu ni mema
Wema wako ni mwangaza wa asubui , mawazo yako , kwetu ni mema
2 SENTENCE ( bridge )
Nimeona , nuru yako gizani
Nimeona nuru yako gizani
Nimeona , nuru yako gizani
Nimeona nuru yako gizani
Wema wako , ni mwangaza wa Asubui
Mawazo yako kwetu ni mema...
Wakufanana nawe sijaona, wakulinganishwa nawe Baba Hakuna...
Wakufanana nawe sijaona, wakulinganishwa nawe Baba Hakuna...
AUDIO BY : JERADI CONCEPTZ
VIDEO DIRECTOR : SK MANDELA
BVGS : SHEKINAH ROYAL VOICES UNDER JEREMY JERADI
#worship #livemusic #gospelsongs #WakufananaNawe #swahiliSongs #wemawako
#liverecordingsongs #gospelmusic #music #jesus #thanksgiving #thankyou #jeremyjeradiSongs #JeremyJeradi #2025GospelSongs #2025WorshipSongs #2025PraiseSongs