Jinsi ya kuendeleza Baraka ya Kizazi kwa Kizazi | Mch. Dk. Huruma Nkone | 21 Juni 2026
vcctmbezibeach
0:00 / 0:00
Jinsi ya kuendeleza Baraka ya Kizazi kwa Kizazi | Mch. Dk. Huruma Nkone | 21 Juni 2026
1 535 просмотров · Трансляция закончилась 3 месяца назад
vcctmbezibeach
15,9 тыс. подписчиков
1 535 просмотров · Трансляция закончилась 3 месяца назад
Tumeitwa kuwa watu wakuu katika kizazi chetu lakini pia kubeba kusudi la Mungu katika maisha yetu. Mungu ametupa nafasi ya kutayarisha kizazi kijacho hivyo kama Waamini tunatakiwa kupeleka baraka za Mungu kwa watoto wetu na watu wanaotuzunguka.
NAMNA YA KUENDELEZA BARAKA KIZAZI KWA KIZAZI
1. Ishi maisha ya mfano kwa watoto wako
2. Shughulika na ngome zilizofunga maisha yako
3. Watamkie watoto wako baraka
4. weka mikono juu ya watoto wako na uwabariki
5. Wabariki watoto wako kwa njia ya maombi
MAMBO MUHIMU YA KUFANYA
1. Wekeza kwa watoto wako
2. Wafundishe watoto kazi unayoifanya
3. Chukua na ufanye fursa unayoipata kwa ajili ya watoto wako