Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
Azam TV
0:00 / 0:00
Magoli | Simba 3-1 AL Ahli Tripoli | CAF CC 22/09/2024
1 574 039 просмотров · 1 год назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
1 574 039 просмотров · 1 год назад
Simba imefuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuichapa Al Ahli Tripoli jumla ya magoli 3-1 yote yakifungwa katika mchezo huu wa marudiano uliopigwa Dimba la benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Wageni Al Ahli walitanguliwa kupata goli kupitia kwa Cristóvão Paciência Mabululu dakika ya 17 lakini Simba wanacharuka na kuchomoa kwa goli la Kibu Denis dakika ya 36, Lionel Ateba dakika ya 45 na Edwin Balua dakika ya 90.