NGUVU YA KUTOA | Askofu Prof. Fredrick Simon
PCCT ONLINE TV
0:00 / 0:00
NGUVU YA KUTOA | Askofu Prof. Fredrick Simon
175 просмотров · 3 мес. назад
PCCT ONLINE TV
3,57 тыс. подписчиков
175 просмотров · 3 мес. назад
Karibu kusikiliza ujumbe wenye nguvu kutoka kwa Askofu Prof. Fredrick Simon kuhusu somo la "NGUVU YA KUTOA".
Katika mafundisho haya utajifunza sababu muhimu za kutoa kulingana na Neno la Mungu:
✅ Kutoa ni asili ya Mungu ndani yetu (Zaburi 106:36–37)
✅ Kutoa ni kama kupanda mbegu izahayo sana (2 Wakorintho 9:6–7; Luka 6:38)
Mafundisho haya yatakusaidia kuelewa baraka, kanuni na matokeo ya kutoa kwa moyo wa upendo na utii kwa Mungu.
🔔 Usisahau:
Subscribe
Like
Share
Comment
ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.
Mhubiri: Askofu Prof. Fredrick Simon
Somo: NGUVU YA KUTOA
Mada Ndogo: Sababu za Kutoa
"Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa na kumwagika." — Luka 6:38
#NguvuYaKutoa #AskofuProfFredrickSimon #Mahubiri #NenoLaMungu #Baraka #Imani #Kanisa #Gospel #ChristianTeaching #SwahiliSermon #Giving #KingdomPrinciples