Rais Ruto amfokea mtangulizi wake Uhuru Kenyatta
KBC Channel 1
0:00 / 0:00
Rais Ruto amfokea mtangulizi wake Uhuru Kenyatta
395 просмотров · 6 ч назад
KBC Channel 1
787 тыс. подписчиков
395 просмотров · 6 ч назад
Rais William Ruto amemsuta mtangulizi wake rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kuwaunga mkono wapinzani wake wa kisiasa kuhujumu utawala wake huku taifa likielekea kuandaa uchaguzi mkuu mwaka ujao. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili katika eneo bunge la Likuyani, rais Ruto aliwashtumu wale wanaopinga uongozi wake kwa kutumia washirika ili waweze kuzua mkanganyiko wa kisiasa, akisisitiza kuwa utawala wake umejitolea kukomesha ukabila, chuki na ubaguzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive