KAULI YA SHEKH WALID YAWAGUSA WENGI "WANAOPENDANA HUTOSHA KWENYE TUNDU LA SINDANO HATA WAKIWA WENGI"
SINGO MEDIA
0:00 / 0:00
KAULI YA SHEKH WALID YAWAGUSA WENGI "WANAOPENDANA HUTOSHA KWENYE TUNDU LA SINDANO HATA WAKIWA WENGI"
16 616 просмотров · 1 месяц назад
SINGO MEDIA
75,6 тыс. подписчиков
16 616 просмотров · 1 месяц назад
🤲 SAIDIA KUENDELEZA DA'WAH KUPITIA SINGO MEDIA
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh.
Ikiwa maudhui ya Singo Media yamekuwa na manufaa kwako, unaweza kushiriki katika kuendeleza Da'wah kwa kutoa Sadaka kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya kurekodia na kurushia matangazo.
Vifaa vinavyohitajika:
📹 Kamera za Kisasa
🎤 Microphones za Kisasa
🎬 Video Switcher/Mixer
🎚️ Audio Mixer
📷 Tripod Stand
💡 Studio Lights
Namba ya kutuma Sadaka (Tigo Pesa / Yas):
📱 +255 677 074 468
Jina: Rajabu Rajabu
Hakuna mchango ulio mdogo mbele ya Allah. Kwa idhini Yake, kila utakachochangia kitasaidia kuendeleza Da'wah na kufikisha elimu yenye manufaa kwa Waislamu na jamii kwa ujumla.
Jazakumullahu Khayran. Tunamuomba Allah (Subhaanahu wa Ta'aala) akubarikie, akuongezee riziki na auweke mchango wako katika mizani ya matendo mema. Aamiin.
#singomedia #trending #shorts #reels