Перейти к содержимому

Makovu ya Hillside Endarasha: Familia zilia vifo vya wanafunzi 21 baada ya mwaka

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Makovu ya Hillside Endarasha: Familia zilia vifo vya wanafunzi 21 baada ya mwaka

2 217 просмотров · 1 г. назад
Citizen TV Kenya
6,7 млн подписчиков
2 217 просмотров · 1 г. назад
Familia 21 zilizowapoteza wana wao kwenye mkasa wa moto katika bweni la wavulana shuleni Hillside Endarasha mwaka jana bado zinadai majibu kuhusu chanzo cha moto huo. Familia hizo zinasema kukosa taarifa kuhusiana na yaliyojiri ndio kikwazo kikubwa kwa wao kupiga hatua za kutuliza nyoyo zao. Kamau Mwangi alizungumza na familia iliyompoteza mtoto aliyekuwa na miaka 13