JE, ANAKUPENDA AU ANAKUTUMIA ? (PART 1) #Mahusiano
Liza Media
0:00 / 0:00
JE, ANAKUPENDA AU ANAKUTUMIA ? (PART 1) #Mahusiano
1 301 просмотр · 10 месяцев назад
Liza Media
17,7 тыс. подписчиков
1 301 просмотр · 10 месяцев назад
Je Anakupenda au Anakutumia? 🤔💔
Watu wengi wako kwenye mahusiano lakini hawajui kama wanapendwa kweli au wanatumika tu.
Katika video hii, nitaeleza dalili muhimu zitakazokusaidia kujua ukweli hata kama unauma.
👉 Kama umewahi kuhisi:
• Unatoa zaidi kuliko unavyopokea
• Anakutafuta tu anapokuhitaji
• Hisia zako hazipewi thamani
Basi video hii ni muhimu sana kwako.
📌 Tazama mpaka mwisho, dalili ya mwisho ni ile watu wengi hupuuza lakini ndiyo hatari zaidi.
Ni dalili ipi imekugusa zaidi?
Andika kwenye comments 👇
👍 Like
📤 Share kwa rafiki au mpenzi wako
🔔 Subscribe kwa video zaidi za ukweli kuhusu mahusiano
#MahusianoNaLizbeth #RedFlags #Mapenzi #Mahusiano #UshauriWaMapenzi #LizaMedia