Перейти к содержимому

SIS TAMISEMI: JINSI YA KUJAZA DODOSO LA TSA | TSM | TWM | TSS 2026 (Sensa Elimu msingi 2026)

MDOPE MIFUMO и MDOPE UJUZI Tz 💻🌐

0:00 / 0:00

SIS TAMISEMI: JINSI YA KUJAZA DODOSO LA TSA | TSM | TWM | TSS 2026 (Sensa Elimu msingi 2026)

11 351 просмотр · 5 месяцев назад
MDOPE MIFUMO и MDOPE UJUZI Tz 💻🌐
11 351 просмотр · 5 месяцев назад
Mfumo wa Taarifa za Shule (SIS) unaosimamiwa na TAMISEMI ni nyenzo muhimu katika kuboresha usimamizi wa elimu nchini Tanzania. KUSUPPORT CHANNEL YETU BOFYA LINK HII https://snippe.me/pay/mdope-ujuzi Katika video hii, tutajifunza kwa undani kuhusu: 0:01 UTANGULIZI 0:40 - JINSI YA KUTUMIA MOBILE APP KUJAZA 1:32 - VIPENGELE MUHIMU KATIKA KUJAZA SENSA 3:40 - SCHOOL MANAGEMENT 6:45 - MANAGE STAFF (Kujaza taarifa za watumishi) 7:35 - SCHOOL SERVICES (Kujaza Huduma zilizopo shuleni_ 9:50 - SCHOOL INVENTORY (Miundombinu, na rasilimali mbalimbali 10:25 - SCHOOL RESOURCES NEEDS (Kujaza Mahitaji ya shule) 15:30 - ASC EXTRA DATA (Kujaza Taarifa za ziada za kila dodoso) 17:13 - ANNUAL SCHOOL CENSUS (Kuhakiki na kutazama ulichojaza juu Sensa elimu msingi, awali au sekondari kwa mwaka mzima XXXXXXXXXXXXXX Mfumo huu unasaidia kuongeza uwazi, ufanisi na ubora wa elimu kwa kuweka kumbukumbu sahihi na zinazopatikana kwa urahisi. #SIS #MfumoWaElimu #TAMISEMI #EducationTanzania #SchoolInformationSystem #DigitalEducation #EdTechAfrica #WalimuTanzania #ElimuBora #SchoolManagement #ICTinEducation #TanzaniaEducation #MifumoYaElimu #DataZaWanafunzi #TeknolojiaElimu