🔴 LIVE: MISA YA MAZISHI YA PADRE HERMAN KACHEMA | 22 OKTOBA 2026
Kipalapala Seminary Online Tv
0:00 / 0:00
🔴 LIVE: MISA YA MAZISHI YA PADRE HERMAN KACHEMA | 22 OKTOBA 2026
2 739 просмотров · Трансляция закончилась 19 часов назад
Kipalapala Seminary Online Tv
6,61 тыс. подписчиков
2 739 просмотров · Трансляция закончилась 19 часов назад
MISA YA MAZISHI YA PADRE HERMAN KACHEMA
Karibu uungane nasi moja kwa moja katika Misa Takatifu ya mazishi ya Padre Herman Kachema, tunapomuaga na kumwombea kwa Mungu pumziko la Milele Mbinguni.
Kupitia matangazo haya ya moja kwa moja, jumuiya ya Seminari Kuu ya Mtakatifu Paulo Mtume – Kipalapala, familia, ndugu, jamaa na marafiki na waamini wote tunaungana kumwombea mpendwa wetu Padre Herman Kachema, ambaye alikuwa Mwanga katika maisha ya wengi hasa zaidi wanafunzi wa Upadre.
🕊️ Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani....Amina
📅 Tarehe: 22 Oktoba 2026
⏰ Muda: Saa 5:00 asubuhi (11:00 AM)
Tuungane katika sala kwa ajili ya Padre Herman Kachema.
📌 Tafadhali shiriki matangazo haya na wengine ili nao waweze kuungana nasi katika sala.
\#PadreHermanKachema #MisaYaMazishi #Kipalapala #KanisaKatoliki #Tanzia