Перейти к содержимому

TAREIKH YETU MSIMU WA PILI (SILSILA 3): Kuingia kwa Wareno katika Bahari ya Hindi - 1

Gumzo la Ghassani

0:00 / 0:00

TAREIKH YETU MSIMU WA PILI (SILSILA 3): Kuingia kwa Wareno katika Bahari ya Hindi - 1

1 872 просмотра · 5 л. назад
Gumzo la Ghassani
45,3 тыс. подписчиков
1 872 просмотра · 5 л. назад
Tarehe 7 Juni 1494, Mkuu wa Kanisa Katoliki Papa Alexader VI alizipatanisha Ureno na Uhispania kwenye mzozo wao wa kuwania kuitawala dunia kwa kuzisainisha Mkataba wa Tordesillas, ambao uliigawa dunia katikati baina ya mashariki na magharibi. Uhispania ikapewa eneo lote la magharibi na Ureno ikapewa eneo lote la mashariki. Huo ndio mwanzo wa Wareno kuingia kwenye Bahari ya Hindi na kisha kulikalia eneo zima la pwani hiyo kwa zaidi ya karne mbili baadaye.