🔴#LIVE: JUMATANO YA MAOMBI || NGUVU YA MAOMBI || MCH. ABEL KENGIA || 29.01.2025
Salasala Sda Church
0:00 / 0:00
🔴#LIVE: JUMATANO YA MAOMBI || NGUVU YA MAOMBI || MCH. ABEL KENGIA || 29.01.2025
209 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Salasala Sda Church
2,24 тыс. подписчиков
209 просмотров · Трансляция закончилась 1 год назад
Karibu katika Ibada ya JUMATANO YA MAOMBI leo ikiwa ni Tarehe 29.01.2025
Ibada ya Leo Tutahudumiwa na Mch. Abel Kengia akitubariki kwa Somo zuri juu ya Nguvu ya Maombi, Je maombi yameleta mabadiliko gani katika Maisha yako?
Ibada ya leo itakuwa na Uimbaji pia
SALASALA SDA CHURCH CHOIR
LINA MJEMA
"Saa Heri ya sala, wawezapo kuja,
Kwa Bwana Yesu wanaojaribiwa,
Moyo wake mpole, atawarehemu;
Waliochoka sana watapata raha."
Matangazo haya yanarushwa mubashara kupitia Team ya Mawasiliano ya Salasala SDA Church (SALASALA MEDIA TEAM) Chini ya Mzee wa Idara MZEE CHARLES NYAHUCHO NA Mkurugenzi SPORA MSELI
Kwa mawasiliano au Maboresho ya Huduma hizi wasiliana na 0677 635 535 au 0656 467 222
BWANA AKUBARIKI.......