Перейти к содержимому

ALOKUTWIKA MWANAHAWA ALLY,ZANZIBAR STARS

Mwambao muziki wetu

0:00 / 0:00

ALOKUTWIKA MWANAHAWA ALLY,ZANZIBAR STARS

53 143 просмотра · 10 лет назад
Mwambao muziki wetu
30,6 тыс. подписчиков
53 143 просмотра · 10 лет назад
Kuna usemi unasema Mchuma janga hula na nduguze ni dhaili kabisa kauli hii inashabihiana na jina la wimbo huu wa Alokutwika.Tambua kuwa wapo watu wana matatizo ya kujitakia na wengine ni mitahani tu mwenyezi Mungu.Tabia ya uongo,roho mbaya,shirki kwa waganga wa kienyeji,kutembea na waume za watu nk yote haya ni baadhi ya matatizo walionayo walimwengu,lakini yanapo mkuta mtu udiliki kutafuta mtu wakuweza kutatua shida zake.Je hapo awali alipokuwa anajiweza alilifikilia hili,tusiwe watu wamajivuno kwa sababu hatujui kesho yake itakuwaje.