Перейти к содержимому

NGUVU YA MTAZAMO (The Power of Mindsets) - PASTOR BEDON DICKSON

Pastor Bedon Dickson

0:00 / 0:00

NGUVU YA MTAZAMO (The Power of Mindsets) - PASTOR BEDON DICKSON

31 просмотр · 4 дн. назад
Pastor Bedon Dickson
603 подписчика
31 просмотр · 4 дн. назад
Karibu kufatilia mafundisho kutoka kwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Central Light Assembly, Linalopatikana Kahumba, Morogoro Mjini. Ni kanisa la Aina yake lenye lengo la kuifikia jamii isiyofikiwa na Injili kwa Upendo katikati ya mji wa Morogoro. Kahumba ni eneo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likihusisha biashara ya ukahaba na Ushoga. Kwa neema ya Mungu ametuongoza kufungua kanisa eneo hilo ili kuwafikishia neema ya Wokovu. Unaweza kuwa sehemu ya mafanikio ya Injili kwa kutuma Sadaka yako ya kuwezesha huduma hii. M-Pesa: 0766 770 422 Halopesa: 0620 819 593 Jina: Bedon Dickson Mwakilasa.