LIVE: UJUMBE MAALUMU KUTOKA KWA MAASKOFU KWENYE MISA YA KUMSHUKURU MUNGU YA ASKOFU VINCENT MPWAJI
Johari Media
0:00 / 0:00
LIVE: UJUMBE MAALUMU KUTOKA KWA MAASKOFU KWENYE MISA YA KUMSHUKURU MUNGU YA ASKOFU VINCENT MPWAJI
754 просмотра · Трансляция закончилась 10 дн. назад
Johari Media
32,8 тыс. подписчиков
754 просмотра · Трансляция закончилась 10 дн. назад
TAARIFA KWA WATAZAMAJI WA JOHARI MEDIA
Watazamaji wetu wapendwa, Johari Media inapenda kuomba msamaha kwa changamoto ya kiufundi iliyojitokeza wakati wa kurusha matangazo yetu mubashara.
Baada ya mafundi wetu kufanya ukaguzi na kuhakikisha kuwa mitambo yetu inafanya kazi vizuri, tunafurahi kuwaletea matangazo haya mubashara ili tuendelee kushiriki pamoja katika kumbukumbu hii muhimu ya Misa ya Shukrani ya Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji, iliyofanyika leo tarehe 24 Oct 2026 katika kituo cha hija cha Podium Jimbo kuu Katoliki Dodoma.
Tunawashukuru sana kwa uvumilivu, uelewa na kuendelea kuwa nasi. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na tunaendelea kujitahidi kuhakikisha mnapata huduma bora.
🙏 USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE, LIKE, SHARE NA KUACHA MAONI YAKO (COMMENT).
*JOHARI MEDIA — FAHARI YETU KATIKA UINJILISHAJI\!*