TAREHE:::22/4/2026:::MGUSE MUNGU HIVI UTAONA MATOKEO YA MAOMBI YAKO || PR.DAVID MMBAGA
Imani hai🙏
0:00 / 0:00
TAREHE:::22/4/2026:::MGUSE MUNGU HIVI UTAONA MATOKEO YA MAOMBI YAKO || PR.DAVID MMBAGA
41 411 просмотров · 5 мес. назад
Imani hai🙏
16,8 тыс. подписчиков
41 411 просмотров · 5 мес. назад
Kuna wakati mambo yanapokua yakionekana kana kwamba ni magumu kwa wanadamu ila kwa MUNGU kwake ni mepesi kabisa na anajua mwanzo hadi mwisho wa maisha yetu, kuna wakati BWANA alitutendea mambo tuliyomuomba tena tukitoa nadhiri kwamba MUNGU ukinitendea hili na mimi nitatenda lile lakini BWANA alipokutendea ukawa umesahau kabisa mlicho ahidiana na MUNGU wako . video hii inatufundisha hayo yote usikose kuitazama mpaka mwisho
#imanihai #prdavid #prmmbaga #davidmmbaga #mahubiri #mahubiritv #motivation