Перейти к содержимому

Jinsi Ya Kufaulu Hesabu [Mbinu za Kufaulu Mitihani Ya Hesabu/hisabati]#mathematics

𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃

0:00 / 0:00

Jinsi Ya Kufaulu Hesabu [Mbinu za Kufaulu Mitihani Ya Hesabu/hisabati]#mathematics

44 625 просмотров · 6 лет назад
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
247 тыс. подписчиков
44 625 просмотров · 6 лет назад
Kama wewe ni mwanafunzi wa Sekondari na una ndoto ya kufaulu somo la hesabu kwa alama A basi ndoto yako huenda ikatimia kwa kuzingatia na kufuatia Mbinu za kufaulu hesabu na jinsi ya kufaulu mitihani wa hesabu jinsi Kama unadhani wewe sio mzuri kwenye hesabu au kitu kingine chochote au kama umekuwa ukiambiwa mara kwa mara kwamba huwezi hesabu mara nyingine hata kama wazazi wako walikuambia kwamba wao wenyewe hakuwa wazuri kwenye hesabu! sasa wewe utaweza vipi hesabu ikiwa wote waliokuzunguka wanakuvunja moyo? Jibu ni kwamba hutoweza!! ila amini kwamba yote haya ni mawazo potofu! Kuna vitu muhimu vya kuvifanya ili uwe mzuri kwenye somo la hesabu na vitu hivi vinapatikana kwa watu wanaopenda kujifunza!