Polisi waimarisha ulinzi kuelekea kilele cha "Mbio za Mwenge wa Uhuru"
Azam TV
0:00 / 0:00
Polisi waimarisha ulinzi kuelekea kilele cha "Mbio za Mwenge wa Uhuru"
3 510 просмотров · 2 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
3 510 просмотров · 2 года назад
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi Tanzania Kamishna (CP) Awadhi Haji Leo Oktoba 13,2023 amesema hali ya ulinzi na usalama mkoani Manyara imeimarika kwa ajili ya kilele cha mbio za mwenge zinazotarajiwa kufanyika kesho 14 Oktoba, 2023 mkoani humo.
Ameeleza kuwa ulinzi wa viongozi wakuu wa nchi na wageni wote umeimarishwa ili kuhakikisha shughuli iliyokusudiwa inafanyika kwa utulivu na amani.