WAKATI DHORUBA NI KUBWA, AHADI YA MUNGU NI KUBWA ZAIDI...........
Kambi Ya Wateule [Pst Benson Mwanza]
0:00 / 0:00
WAKATI DHORUBA NI KUBWA, AHADI YA MUNGU NI KUBWA ZAIDI...........
53 просмотра · 3 дн. назад
Kambi Ya Wateule [Pst Benson Mwanza]
4,42 тыс. подписчиков
53 просмотра · 3 дн. назад
Matendo ya Mitume 27:22-25 Sasa nawapeni shauri, iweni na moyo mkuu, kwa maana hapana hata nafsi mmoja miongoni mwenu atakayepotea, ila merikebu tu.
And now I exhort you to be of good cheer: for there shall be no loss of any man's life among you, but of the ship.
[23]Kwa maana usiku huu wa leo malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake, naye ndiye nimwabuduye, alisimama karibu nami,
For there stood by me this night the angel of God, whose I am, and whom I serve,
[24]akaniambia, Usiogope, Paulo, huna budi kusimama mbele ya Kaisari; tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe.
Saying, Fear not, Paul; thou must be brought before Caesar: and, lo, God hath given thee all them that sail with thee.
[25]Basi, wanaume, changamkeni; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.
Wherefore, sirs, be of good cheer: for I believe God, that it shall be even as it was told me.