Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 28.08.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 28.08.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

10 695 просмотров · Трансляция закончилась 5 часов назад
DW Kiswahili
332 тыс. подписчиков
10 695 просмотров · Трансляция закончилась 5 часов назад
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo | Podcast | Swahili News Haya ni miongoni mwa tuliyo nayo katika Dunia Yetu Asubuhi 28.08.2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn: Rais wa Kongo Félix Tshisekedi azindua rasmi mchakato wa mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya amani Zaidi ya watu 390 wafariki na wengine 1,400 hawajulikani walipo kufuatia mafuriko makubwa katika eneo la mpakani kati ya Nepal na Tibet Urusi yafanya mashambulizi makubwa usiku wa kuamkia leo ikilenga miji kadhaa nchini Ukraine, ikiwa ni pamoja na Kyiv, Odesa na Zaporizhzhia #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.