Перейти к содержимому

KILA ANAPOKUFA ANARUDI TENA, NA KILA KIFO KINAMFANYA KUWA HATARI ZAIDI!

Swahili Recap и Swahili Recap Plus

0:00 / 0:00

KILA ANAPOKUFA ANARUDI TENA, NA KILA KIFO KINAMFANYA KUWA HATARI ZAIDI!

7 251 просмотр · 8 дней назад
Swahili Recap и Swahili Recap Plus
7 251 просмотр · 8 дней назад
Askari anajikuta katikati ya vita kubwa dhidi ya viumbe wa ajabu kutoka angani. Tatizo kubwa ni kwamba kila anapokufa, anarudi tena mwanzo wa siku ileile huku akikumbuka kila kitu kilichotokea. Kadiri anavyoendelea kufa na kurudia siku hiyo mara nyingi, anaanza kujifunza namna ya kupigana, jinsi ya kuwaepuka maadui na namna ya kuokoa wenzake. Lakini pia anagundua kuwa nguvu hii ya kurudisha muda inaweza kuwa nafasi pekee ya kuokoa dunia dhidi ya maadui ambao karibu hawawezi kushindwa. Je, ataweza kutumia kila kifo kama somo na hatimaye kubadilisha mwisho wa vita? Tazama video hadi mwisho ujue jinsi mapambano haya ya ajabu yanavyomalizika. Usisahau ku-like video, ku-subscribe channel na kuwasha notification ili usikose movie recap nyingine kali zaidi.