Перейти к содержимому

JEMEDARI SAIDI:TFF KWANINI MMERUHUSU WACHEZAJI WA YANGA KUONDOKA TIMU YA TAIFA,HII SIO SAWA MNAKOSEA

MABENA TV

0:00 / 0:00

JEMEDARI SAIDI:TFF KWANINI MMERUHUSU WACHEZAJI WA YANGA KUONDOKA TIMU YA TAIFA,HII SIO SAWA MNAKOSEA

7 821 просмотр · 19 часов назад
MABENA TV
112 тыс. подписчиков
7 821 просмотр · 19 часов назад
#Jemedarisaidi #Yangasc #Kariakooderby #TaifaStars #YangaSC #TFF #KariakooDerby #TanzaniaFootball 🚨 KWANINI WARUHUSIWE WA YANGA TU? TFF imewaruhusu wachezaji wanne wa Yanga SC walioko kambini na Taifa Stars Morocco kurejea Dar es Salaam baada ya mchezo wa leo dhidi ya FAR Rabat, ili kujiunga na timu yao kwa maandalizi ya Derby ya Kariakoo dhidi ya Simba, Oktoba 10. Wachezaji hao ni Mudathir Yahya, Ibrahim Bacca, Seleman Mwalimu na Mohamed Hussein. Uamuzi huo umemkera kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ambaye anadaiwa kupinga kuondolewa kwa wachezaji hao wakati Stars bado ina mchezo dhidi ya Morocco Oktoba 5. Gamondi anaamini muda huu wa FIFA Dates ni muhimu kwake kufanya mazoezi na kikosi kamili kuelekea AFCON 2027. Kocha huyo pia amehoji kwa nini wachezaji wa Yanga pekee wanaruhusiwa kuondoka, huku wachezaji wa Azam, Singida na Simba wakiendelea kubaki kambini licha ya kuwa na michezo ya klabu. Ameandika Jemedari said