Перейти к содержимому

Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani (Visualizer)

Bongo Records Ltd

0:00 / 0:00

Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani (Visualizer)

381 858 просмотров · 2 г. назад
Bongo Records Ltd
59,5 тыс. подписчиков
381 858 просмотров · 2 г. назад
NAMPENDA NANI LYRICS [Chorus] Nakupendaaa na sifa nakupa (mnyakwibata) Usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu Usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu Nampenda penda (naaani) Msichana mmoja (naani) Mweupe kidogo (naaani) Nampenda nampenda Nyuma kajaza (naani) Kifuani (naani) Anakwenda kwa pozi naani Nampenda nampenda [ Verse 1 ] Nampenda dem mmoja awe mtanzania Awe na sifa za kweli niweze jivunia Nijue wapi kazaliwa wapi katokea Ndugu jamaa wazazi nipate waelezea Uzuri wa sura yake uendane na tabia Apendwe na watu c makumi bali mamia Dada zangu wazazi wasije kumchukia Waseme mbona cc awali tulikuambia Ntampenda demu mwenyewe awe mweusi kidogo Hata kama mweupe isiwe kwa mkorogo Awe mnyisanzu mnyakyu mnyalu c mgogo Hapo ntapata raha kachaa c kidogo Niwe kwake moyoni asiwe kwangu mfukoni Eti umaarufu na madini yangu shingoni Demu yamdatishe anase kwangu mtegoni Ntapochalala demu aingie mitini Sijui nani mkweli sijui nani nimwamini Ila namwomba mungu roho tu ya imani Nimpate mmoja mpenzi tu nimwamini Nimvike pete ndoa kitu cha thamani Utajiri umaskini ndani ya penzi ni matokeo Kila mmoja kati yetu atambue jambo hilo Isije siku za usoni ikaleta kimeo Lakini nakuamini huwezi kuniacha mwenzio Utabaki wangu nami ntakuwa wako Kile kilicho changu mpenzi hicho ni chako Bega kwa bega nami niko nyuma yako Mike tee na nature haki ya mungu hatutoficha [Chorus] Nakupendaaa na sifa nakupa (mnyakwibata) Usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu Usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu Nampenda penda (naaani) Msichana mmoja (naani) Mweupe kidogo (naaani) Nampenda nampenda Nyuma kajaza (naani) Kifuani (naani) Anakwenda kwa pozi naani Nampenda nampenda [Verse : 2] Hewala bwana wacha me niseme sana Hata nikificha kwangu haitoleta maana Ni kheli niwe mkweli muwazi anijue vizuri Ili akipata nyeti za uzushi awajibu kiburi Nafaham unafaham binadam sote dhaifu Vizingiti ni vingi mpaka me nikuite wife Imani uvumilivu pia uaminifu Vyote kwa pamoja vyahitajika maradufu Mikufu sarafu isiwe kipimo cha mapenzi Kunikubali mnyalu nidrive bima au benzi Hizo ni fikra potofu tena tu za kishenzi Naahidi kwa kila khali mimi nitakuenzi Nataka uwe simple wabaki na mshangao Wale unaofanana na usiofanana nao Nikizuka nawe msichoke wote wabaki ooh Dem msomi ngeli no anaongea kikwao Mfano kukataa anasema ndeema Kila sehem nikimgusa anaheeema Kusema toka hapa anasema hege ipa Ngoma ikikataa anasema imenyopa Aasante ntakufundisha wewe kusema ndaga Hivyo ndivyo mapenzi ya kinyalu yanavyokwendaga Tuombe uzima vyote me ntatimiza Ukiniona mike tee satisfaction guarantee [Chorus] Nakupendaaa na sifa nakupa (mnyakwibata) Usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu Usiyafuate ya wale wasiopenda maendeleo yako mpenzi wangu Nampenda penda (naaani) Msichana mmoja (naani) Mweupe kidogo (naaani) Nampenda nampenda Nyuma kajaza (naani) Kifuani (naani) Anakwenda kwa pozi naani Nampenda nampenda Audio produced & mixed by: P-Funk Majani   / majani187   Video directed by: Salum Majagi   / majagiking   Performed by: Juma Kassim (Juma Nature)   / sir_nature   Mike Tee   / official_miketee   #miket #jumanature #nampendanani