Jeremiah Obed - Ni Kweli official video lyrics
Jeremiah Obed
0:00 / 0:00
Jeremiah Obed - Ni Kweli official video lyrics
420 просмотров · 3 года назад
Jeremiah Obed
308 подписчиков
420 просмотров · 3 года назад
Lyrics:
Niliyekuwa Sina Mungu,
Ukawa Mungu wangu
Sikuwa na Njia Hapo kwanza,
Leo wewe Njia yangu
Ulinitafuta na kunivuta kwako,
Nami nimepatikana Pendoni mwako ×2
NI KWELI × 6
Sioni fahari Kwa chochote,
MSALABA wako fahari yangu,
Kwa mapenzi yako umefanya,
Kristo hekima yangu
Yesu ni halisi wala SI kivuli,
Pendo lako ni dhahiri,dhahiri kwangu ×2
NI KWELI ....
(Pendo lako, Amani yako, Furaha yako, Kweli yako, Neno lako, Nguvu ya MSALABA wako...Hakika Mungu wewe ni KWELI.)
Mwandishi: Instagram: Jeremiah Obed
Backups: Instagram: Jeremiah Obed & Debora John
Studio: MF Records