Tabibu Mkuu huyu | The Great Physician now is near | Nyimbo za Kristo
Nyimbo za kristo Hymnal
0:00 / 0:00
Tabibu Mkuu huyu | The Great Physician now is near | Nyimbo za Kristo
14 086 просмотров · 8 мес. назад
Nyimbo za kristo Hymnal
4,89 тыс. подписчиков
14 086 просмотров · 8 мес. назад
Lyrics
[Verse 1]
Tabibu mkuu huyu, Yesu mwenye huruma
Atuletaye faraja: Yesu, Mwokozi wetu.
Chorus
Imbeni, Malaika, SIfa za Bwana wetu:
Jina la pekee kwetu, ni la Yesu Bwana.
[Verse 2]
Mwana Kondo-o msifuni Mwokozi;
Hatia zote na dhambi, Huziondoa Yesu.
[Verse 3]
Hakuna jina jingine, Linalofa-a sifa;
A-u kutufurahisha, Isipokuwa lake.
[Verse 4]
Naye atakapokuja, Na utukufu wake;
Tutafurahi milele, Kuka-a kwake Bwana.