MVUA MJINI KILIFI
COCO FM RADIO
0:00 / 0:00
MVUA MJINI KILIFI
1 577 просмотров · 1 год назад
COCO FM RADIO
18,1 тыс. подписчиков
1 577 просмотров · 1 год назад
Kumenyesha mjini Kilifi na kuwapata wakazi katika hali ya kukabiliwa na changamoto za usafiri na kubishiwa na maji majumbani.
Kweli kukinyesha utajua pavujapo na usipopaziba kukinyesha tena mwaka ujao juwa utavujiwa tena.