Перейти к содержимому

MAISHA YAKE NI ZAIDI YA MKE WA KIONGOZI WA TAIFA

ZANZIBAR YETU

0:00 / 0:00

MAISHA YAKE NI ZAIDI YA MKE WA KIONGOZI WA TAIFA

900 просмотров · 9 часов назад
ZANZIBAR YETU
10,6 тыс. подписчиков
900 просмотров · 9 часов назад
Zanzibar imeondokewa na Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye taarifa za kifo chake zilitolewa jana usiku na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla. Mama Fatma, aliyezaliwa Bumbwini, Unguja, mwaka 1929, alikuwa mmoja wa wanawake waliokuwa na nafasi katika historia ya kisiasa ya Zanzibar. Alifunga ndoa na Mzee Karume mwaka 1944, kabla ya baadaye kuwa mke wa kiongozi wa taifa kufuatia Mapinduzi ya Januari 1964.