| Mjue Imam Muhammad al Baqir (as) | Abu Jafar |
Bilal Education
0:00 / 0:00
| Mjue Imam Muhammad al Baqir (as) | Abu Jafar |
72 просмотра · Трансляция закончилась 3 г. назад
Bilal Education
1,33 тыс. подписчиков
72 просмотра · Трансляция закончилась 3 г. назад
Muelekeo wa madrasa ya Ahlulbayt ulimakinishwa na Imam al Baaqir baada ya kufariki Mtume Muhammad (saww) na kupata sura nzuri baada ya kuwa ilichafuliwa.
Historia ya Imam al Baaqir ni muhimu sana kuijua, kwani itatufanya tupate kujua muelekeo wa kielimu ulivyoendelezwa na bingwa huyu atokae katika kizazi cha Mtume wetu mpenzi.
Darsa hili litatazama kwa undani historia ya Imam Huyu mtukufu pamoja na kupata fursa ya kujua hekima na busara zake.
Visit our website: http://www.bilaleducation.org
Facebook page: / bilaleducation
Please Donate direct to our account
Bilal Education Ltd
Account Number : 01528602
Sort code : 40 06 23
HSBC bank