Перейти к содержимому

SIKU ZA MWISHO, KUNYAKULIWA KWA KANISA - DAY 1 - Pastor Emanuel Meshy

ICC - Mito Ya Uzima

0:00 / 0:00

SIKU ZA MWISHO, KUNYAKULIWA KWA KANISA - DAY 1 - Pastor Emanuel Meshy

6 931 просмотр · 8 лет назад
ICC - Mito Ya Uzima
2,64 тыс. подписчиков
6 931 просмотр · 8 лет назад
Katika video hii utajifunza; 1. Maana ya Injili hai ya Yesu Kristo 2. Viambata (Ingridients) vinavyoitofautisha Injili ya Yesu na Injili zingine 3. Maana ya Kanisa hai la kweli la Yesu 4. Sababu kuu kati ya sababu nyingine ya kuwepo kwa kanisa la Yesu ulimwenguni. Ndugu mpendwa wangu, jiandae kubarikiwa zaidi sana kwenye somo la siku ya pili, Alhamisi 15 February 2018. Subscribe kwenye Channel hii, share pia na wengine wengi nao wabarikiwe. Amen