Перейти к содержимому

🔴#LIVE Ibada ya Sabato || Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani - Mch. Abihud Gwalugwa || Mwenge SDA Church

Mwenge SDA Church

0:00 / 0:00

🔴#LIVE Ibada ya Sabato || Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani - Mch. Abihud Gwalugwa || Mwenge SDA Church

1 685 просмотров · Трансляция закончилась 1 месяц назад
Mwenge SDA Church
18,2 тыс. подписчиков
1 685 просмотров · Трансляция закончилась 1 месяц назад
#ibadayaSabato #Mch.StanleyJosia #nitakwendakujihusisha #onevoice27 #JihusisheYesuAnakuja Karibu katika Ibada ya Sabato || 01 Agosti, 2026 Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch #mwengesdachurch linawakaribisha waabudu wote katika Ibada ya Sabato. Wahudumu: Mwenyekiti : Caleb Joel Wito wa Maombi : Fungu Kuu na Ombi : Mumwi Kajanja Zaka na Sadaka : Aliko Mwakimi Hubiri la Watoto : Frank Mpenda Hubiri Kuu : Mch. Abihud Gwalugwa Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji Gerald Nyakrere +255688779995 Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 754 242 400 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ). SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ). ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ). Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 809 999 (Mhazini wa Kanisa- Lutula Mbosela ). Mungu akubariki. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live   / 1eypizkecr   Instagram: mwengesdachurchlive https://www.tiktok.com/@mwenge.sda.ch... Mungu akubariki.