Перейти к содержимому

KUMBUKIZI - JIFUNZE KUWEKA MIPANGO YA MUDA MREFU

MITIMINGI ONLINE TV

0:00 / 0:00

KUMBUKIZI - JIFUNZE KUWEKA MIPANGO YA MUDA MREFU

2 350 просмотров · 1 год назад
MITIMINGI ONLINE TV
150 тыс. подписчиков
2 350 просмотров · 1 год назад
Kumbukizi Tarehe kama ya leo, mnamo mwaka 2020, tulimpoteza kiongozi wetu shupavu Mchungaji na Mwalimu, Dkt. Peter Mitimingi. Ingawa hayupo nasi kimwili, bado anaishi mioyoni mwetu kupitia mafundisho, upendo na maono aliyoyaacha. Maisha si kuhusu muda mrefu utakaoishi, bali uzito wa urithi utakaoacha. Jifunze kuweka mipango ya muda mrefu. Hata Bwana wetu Yesu Kristo aliweka mipango ya muda mrefu ni zaidi ya miaka 2000 sasa tangu alipotoa ahadi ya kurudi. Mtume Paulo naye aliishi kwa imani hiyo hiyo, akiamini kwa uhakika kwamba Yesu ataporudi, yeye atakuwa bado hai. Alisema: "Sisi tulio hai tutakaosalia..." Akiwa na mtazamo wa mpango wa milele. Maisha yenye maono ya mbali huacha alama isiyofutika. Tuendelee kuishi kwa kusudi, tukiweka mipango ya kudumu kwa vizazi vijavyo.