Перейти к содержимому

CRDB WAJA KIVINGINE MAONESHO YA MADINI GEITA

Daily News Digital

0:00 / 0:00

CRDB WAJA KIVINGINE MAONESHO YA MADINI GEITA

23 просмотра · 5 часов назад
Daily News Digital
284 тыс. подписчиков
23 просмотра · 5 часов назад
GEITA: BENKI ya CRDB imesema itaendelea kuchangia maendeleo ya sekta ya madini kwa kuwawezesha wachimbaji wadogo na wakubwa pamoja na wajasiriamali wa madini kupata huduma za kifedha na mikopo kupitia ushirikiano wake na Tume ya Madini. Hayo yamesemwa leo na Meneja wa Biashara wa CRDB Kanda ya Magharibi, Anslem Mwenda, wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini ya Geita yanayoendelea katika Viwanja vya Samia, mkoani Geita. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09