Перейти к содержимому

MAKAMU WA RAIS AKERWA NA TAARIFA ZA KUPOTOSHA TANROADS MBEYA

ALU TV

0:00 / 0:00

MAKAMU WA RAIS AKERWA NA TAARIFA ZA KUPOTOSHA TANROADS MBEYA

69 просмотров · 2 дня назад
ALU TV
11 тыс. подписчиков
69 просмотров · 2 дня назад
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekerwa na taarifa alizozitaja kuwa za kupotosha zilizotolewa na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Suleiman Bishanga, kuhusu ufunguaji wa barabara katika eneo la Mdope. Akiwa katika ukaguzi wa kushtukiza eneo la Kabwe, Makamu wa Rais amehoji matumizi ya fedha za Serikali zinazofikia Shilingi bilioni 40 bila matokeo yanayolingana na thamani ya fedha hizo. Amemtaka Waziri wa Ujenzi, Mhe. Masanja Kadogosa, kuhakikisha hatua za uwajibikaji zinachukuliwa dhidi ya watendaji wanaotoa taarifa zisizo sahihi, akisisitiza kuwa uzembe katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu hautavumiliwa huku wananchi wakiendelea kukabiliwa na adha ya usafiri. #ALUTVNEWS #Mbeya #TANROADS #Habari