078 - Kuingia Kwa Shangwe (Swahili)
The Global Gospel
0:00 / 0:00
078 - Kuingia Kwa Shangwe (Swahili)
1 087 просмотров · 9 л. назад
The Global Gospel
37,9 тыс. подписчиков
1 087 просмотров · 9 л. назад
Maandiko ya kumbukumbu: Matayo 21:1-11
Yesu aingia Yerusalemu kwa punda, na watu wapaza sauti wakisema, "Hosanna!"
Swali 1: Utofauti kati ya kuanzisha ufalme wa ulimwengu na wa mbinguni ni nini? Ungependa kuwa sehemu ya ufalme upi? Na kwa nini?
Swali 2: Inabadili aje mtazamo wetu wa jinsi inamaanisha kuwa Mkristo ikiwa tunamuona Yesu kama Mfalme tena Mwokozi?
Swali 3: Ungelifanya nini kama ungekuwa pale kumuona Yesu akiingia mjini?
Tazama, pakua, au chapisha swali za majadiliano za Injili ya Kimataifa: https://drive.google.com/file/d/0B6kd...