Je, mwenendo wa kudai mahari ni sawa au si sawa?
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Je, mwenendo wa kudai mahari ni sawa au si sawa?
186 просмотров · 10 часов назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
186 просмотров · 10 часов назад
Mahari ni kiwango cha pesa, mali, au kitu cha thamani ambacho mwanaume humpa mke wake mtarajiwa au familia yake wakati wa ndoa. Katika baadhi ya imani za dini kama Uislamu mahari ni haki ya lazima ya mwanamke anayopewa na mume wake. Kiwango cha fedha au ukubwa wa mali hutegemea desturi za jamii au mwongozo wa dini. Lakini ni haki kwa mwanaume kuidai mahari hiyo baada ya ndoa kuvunjika?