Kama si Yesu msalabani ingekuwaje-Mbarikiwa mwakipesile na Kikosi kazi cha injili
NJIA ILIYO NJEMA MEDIA - YER 6:16
0:00 / 0:00
Kama si Yesu msalabani ingekuwaje-Mbarikiwa mwakipesile na Kikosi kazi cha injili
13 673 просмотра · 5 л. назад
NJIA ILIYO NJEMA MEDIA - YER 6:16
47 тыс. подписчиков
13 673 просмотра · 5 л. назад
Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... / Канал
2. Zawadi blandine ... / @zawadiblandine
3. Helbeth Mlelwa ... / @pastorhelbethmlelwa
Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... / @mbarikiwa_mwakipesile
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya / salome.mwampeta.5
KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN