Перейти к содержимому

Mishkaki ( Zanzibar Mix Part 3) Kiswahili

Aroma Of Zanzibar & Beyond

0:00 / 0:00

Mishkaki ( Zanzibar Mix Part 3) Kiswahili

249 261 просмотр · 10 лет назад
Aroma Of Zanzibar & Beyond
253 тыс. подписчиков
249 261 просмотр · 10 лет назад
Mahitaji: Pound 1 ya nyama ya vipande vidogo (nyama ya n'gombe) Tangawizi mbichi kijiko 1 kidogo Kitunguu thom kijiko kimoja kidogo Ukwanju robo kikombe ( roweka na maji nusu kikombe au zaidi) Bizari ya manjano 1/2 nusu kijiko kidogo Pilipili ya unga kijiko 1 kidogo Bizari nyembamba ya unga kijiko 1 kidogo Chumvi kijiko kimoja 1 kidogo Pilipili managa ya unga ro kijiko 1 Mafuta ya kupikia vijiko 2 vikubwa