Mungu Ni Hazina Yangu | Jmdklm, Kanisa la Mungu
World Mission Society Church of God / Global
0:00 / 0:00
Mungu Ni Hazina Yangu | Jmdklm, Kanisa la Mungu
356 просмотров · 1 г. назад
World Mission Society Church of God / Global
149 тыс. подписчиков
356 просмотров · 1 г. назад
Baraka Zililojaaliwa Juu ya Kanisa la Mungu na Mungu Aliyeumba Kitu Pasipo Kitu
Injili ya Kanisa la Mungu, iliyoanzia katika sehemu ndogo kama chumba cha juu cha Marko, imekua chini ya baraka na mwongozo wa Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama na sasa imekuwa kanisa la kimataifa ambalo limeeneza injili duniani kote.
Yote Yanawezekana Tunapomjua Mungu na Kukumbuka Yale Aliyoyafanya Mungu
Tukijiachia katika mawazo na maisha ambayo yako kinyume na mapenzi ya Mungu, hatuwezi kamwe kufanikiwa.
Waisraeli walitenda dhambi kwa kutilia shaka uweza wa Mungu hata baada ya kushuhudia miujiza Yake mingi, lakini tukimthamini Mungu Anayetusaidia sikuzote, tutapokea baraka tele.
Ayubu 22:21–25
“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.
Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako.
Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,
kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni,
ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora.”
[ Hakimiliki za video hii zimehifadhiwa na Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Hairuhusiwi kunakili na kusambaza bila kibali. ]
〖World Mission Society Church of God〗https://watv.org
〖WATV Media Cast〗 https://watvmedia.org/sw
〖Church of God Introduction〗 https://introwmscog.com