Перейти к содержимому

Kwa Nini Tunakuwa na Wasiwasi Uliopitiliza? Na Tunawezaje Kukabiliana Nao? (Anxiety) | Ahadi Podcast

Ahadi Mental Health

0:00 / 0:00

Kwa Nini Tunakuwa na Wasiwasi Uliopitiliza? Na Tunawezaje Kukabiliana Nao? (Anxiety) | Ahadi Podcast

78 просмотров · 10 дней назад
Ahadi Mental Health
114 подписчиков
78 просмотров · 10 дней назад
Pressure ya maisha, overthinking, hofu na mawazo mengi vinaweza kuanza kuonekana kama sehemu ya kawaida ya maisha, lakini ni lini inakuwa wasi wasi uliopitiliza? Katika episode hii ya Ahadi Podcast, tunazungumza kwa kina kuhusu wasiwasi uliopitiliza (anxiety) na namna inavyoweza kuathiri maisha ya vijana. Pamoja na psychotherapist wetu Germana Chuwa, tunazungumza kuhusu dalili ambazo huenda mtu asitambue kuwa zinahusiana na anxiety, pressure ya masomo na kazi, expectations za familia, social media na kujilinganisha na wengine, relationships, overthinking na hofu. Pia tunazungumzia mambo unayoweza kufanya unapopitia hali hii, njia za kukabiliana nayo na wakati ambao ni muhimu kutafuta msaada wa kitaalamu. Kama umewahi kujikuta ukiwa na mawazo mengi, ukiwa na hofu bila kujua kwa nini, au unahisi akili yako haipumziki, mazungumzo haya ni kwa ajili yako. 🤍 🎧 Tazama episode nzima na ushare na mtu ambaye anaweza kuhitaji kusikia haya. Pamoja na psychotherapist wetu, tunazungumza kuhusu: • Anxiety ni nini na tofauti yake na stress au hofu ya kawaida • Dalili za anxiety ambazo huenda huzitambui • Overthinking na anxiety • Social media, comparison na pressure ya maisha • Academic, career na family pressure • Anxiety kwenye relationships na friendships • Intuition vs anxiety • Nini cha kufanya unapohisi anxiety • Coping strategies unazoweza kuanza kutumia • Kwa nini avoidance inaweza kufanya anxiety iwe kubwa zaidi • Ni wakati gani unapaswa kutafuta msaada wa kitaalamu • Na ujumbe kwa mtu anayepitia anxiety lakini hajawahi kumwambia mtu Ahadi Mental Health, Tunazungumza kuhusu afya ya akili kwa njia rahisi, salama na inayohusiana na maisha yetu ya kila siku. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu na uelewa wa afya ya akili na hayachukui nafasi ya ushauri au huduma ya kitaalamu. ----------------------------------------------- All Ahadi important links: https://linktr.ee/ahadimentalhealth Your personalized, stigma-free mental health companion. Live in Tanzania 🇹🇿 SMS: 15061 | CALL: 199 | Download Ahadi App “Always There, Always Care.” Ahadi Mental Health: https://www.ahadimentalhealth.org Ahadi is Tanzania’s first stigma-free digital mental health platform — built to make mental health care easy, affordable, and accessible to all. Ahadi combines online tools and offline services to support your mental wellness, wherever you are. Download APP here: 🔗 https://openinapp.link/fg4qa Through the app, you get access to: 💬 Support groups (vikundi vya usaidizi) 👩‍⚕️ Professional mental health services from certified psychologists & psychotherapists 📔 Daily journaling tools and tips for self-care 💡 Easy-to-understand mental health education in Swahili 🤖 24/7 chatbot assistance and hotline/SMS access via Afya Call Centre (call 199 or text 15061) — bilingual, confidential and free 📞 24/7 Support 📞 Call: 199 💬 SMS: 15061 📲 App download & start: https://openinapp.link/fg4qa 🌍 Stay Connected 📸 Instagram: https://insta.openinapp.co/ejtk5 💼 LinkedIn: https://linkedin.openinapp.co/pgyz9 🎵 TikTok: https://openinapp.link/maaby 🐦 Twitter: https://twtr.openinapp.co/ewv9p Learn more about us here: https://ahadimentalhealth.org/ Tags Mental Health Tanzania, digital mental health, Ahadi App, TAHMEF, stigma-free therapy, youth mental wellness, Tanzania hotline 199, SMS 15061, vijana, wasiwasi uliopitiliza, anxiety, anxiety Tanzania, anxiety symptoms, dalili za anxiety, afya ya akili, mental health Tanzania, afya ya akili Tanzania, vijana Tanzania, anxiety kwa vijana, overthinking, overthinking Tanzania, stress na anxiety, panic attack, anxiety attack, jinsi ya kukabiliana na anxiety, jinsi ya kupunguza anxiety, mental health, psychotherapist Tanzania, mwanasaikolojia, therapy Tanzania, Ahadi Mental Health, Ahadi Podcast,