Перейти к содержимому

Jeshi la Polisi Latoa Onyo Dhidi ya Mipango ya Fujo na Uharibifu wa Mali Nchini

The Chanzo

0:00 / 0:00

Jeshi la Polisi Latoa Onyo Dhidi ya Mipango ya Fujo na Uharibifu wa Mali Nchini

2 977 просмотров · 8 ч назад
The Chanzo
263 тыс. подписчиков
2 977 просмотров · 8 ч назад
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa onyo kali kwa baadhi ya viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati wanaojihusisha na mipango ya siri au ya wazi ya kuhamasisha vurugu na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma. Onyo hilo limetolewa leo Oktoba 26, 2026 wakati likitoa taarifa kwa umma juu ya hali ya ulinzi na usalama. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.