Kenya ni Yetu by CMB Prezzo
CMB Prezzo
0:00 / 0:00
Kenya ni Yetu by CMB Prezzo
2 088 просмотров · 4 года назад
CMB Prezzo
11,3 тыс. подписчиков
2 088 просмотров · 4 года назад
#CMBPrezzo #kenyaniyetu #ECVR2021 #IEBC2021
Wakenya wezangu wakati ni Sasa. Tumechoka na ahadi tasa kutoka kwa "VIONGOZI" wetu tuliyowaamini na mamlaka ya kazi. Baada ya kuapishwa "Viongozi" wetu huwa wanaonesha bidii ya kuchapa kazi. Baada ya mda wananchi tunagundua kwamba bidii ya kazi waliyoanza nayo ilikuwa ni nguvu ya soda. Tuzibeni ufa kwa wakati huu na hatuhitajika kujenga ukuta! Prezzo.
Tembelea Vitongoji Vya Mathare Constituency:
Old Mathare Primary School
Mathare Youth Polytechnic
Mathare Special Training School
Daima Primary School
Huruma Primary School
Salama Primary School
AIPCA Ngei 2 Primary School
Lions Health Clinic
Kibiro Primary School
St. Teresa's Girls Primary School
Ndururuno High School
Ndururuno Primary School
Valley Bridge Primary
Credits:
Directed by - director ANDERE
Production Manager - Rachael Muthoni
Sound Recordist - Grishon Onyango
Makeup - Bella Wairimo
Edited By - Lawrence Odiwa
©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.