Migahawa Mitatu Zanzibar Kwa Elfu 92 Chini ya Dakika Moja.
Imran Jape
0:00 / 0:00
Migahawa Mitatu Zanzibar Kwa Elfu 92 Chini ya Dakika Moja.
2 993 просмотра · 17 ч назад
Imran Jape
4,57 тыс. подписчиков
2 993 просмотра · 17 ч назад
Mgahawa wa wasiokula nyama, halafu mgahawa wa kuku wenye pilipili, kisha tunamalizia na mgahawa wenye waffle za chocolate za kila aina na vyote hivi tunataka kuvifanya kuwa mlo mmoja.
Yani starter, main course na dessert. Je hizi Sehemu 3 tofauti zitaweza kutupa Mlo mmoja bora zaidi ? Au tutajutia maamuzi ?
Kuanzia Gharama, Migahawa inapopatikana,ladha za Vyakula, mazingira na kila kitu bakia na sisi tuende kuenjoy pamoja.