MITIMINGI # 282 UKIONA MME ANAENDESHWA NA MKE KWENYE NDOA JUA YUPO KWENYE HAIBA HII
MITIMINGI ONLINE TV
0:00 / 0:00
MITIMINGI # 282 UKIONA MME ANAENDESHWA NA MKE KWENYE NDOA JUA YUPO KWENYE HAIBA HII
7 473 просмотра · 8 лет назад
MITIMINGI ONLINE TV
150 тыс. подписчиков
7 473 просмотра · 8 лет назад
Mke/Mke koreliki kwa sababu nature yao ni uongozi, hupenda kuwa kichwa cha familia na kumburuza mke au mme. Kwa bahati mbaya sana mke akiwa koreliki yeye ndio atasomesha watoto, atalisha familia na kutimiza majukumu ya familia kama kichwa cha familia. Watu/ukoo na familia huona kama mwanaume aliyeoa Mke KORELIKI hunyanyaswa lkn hawajatambua kuwa yupo kwenye haiba ya KORELIKI. Mjue Mke/Mume KORELIKI na sifa zake njema.
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39