Kwa Utalii, Kazi au Biashara
Miriam Kwembe
0:00 / 0:00
Kwa Utalii, Kazi au Biashara
3 652 просмотра · 1 год назад
Miriam Kwembe
7,06 тыс. подписчиков
3 652 просмотра · 1 год назад
Nimeanzisha chaneli hii (Miriam Kwembe - YouTube) ili tuweze kuangalia namna ambavyo biashara mbalimbali (haswa zile ambazo zipo pia hapa nyumbani) zinafanyika kwenye nchi zilizoendelea, kwa lengo la kuburudika, kuhamasika na zaidi, KUJIFUNZA.
Ukitaka kupiga hatua, jifunze kwa waliokutangulia!
Ukipenda kufuatilia kwa ukaribu, tafadhali subscribe kwenye chaneli hii (Miriam Kwembe - YouTube) na tazama video ambazo tayari zipo hewani.
#tanzania #kenya #uganda #swahili #ulaya #kazi #fursa #biashara #maisha #simulizi