Atosha Kissava - Mungu wa Namna Hii (Official Music Video)
Atosha Kissava
0:00 / 0:00
Atosha Kissava - Mungu wa Namna Hii (Official Music Video)
25 803 просмотра · 2 г. назад
Atosha Kissava
34,2 тыс. подписчиков
25 803 просмотра · 2 г. назад
#AtoshaKissava #new
''Mungu wa Namna Hii'' Ni wimbo Ambao Unaadhimisha Ukuu wa Mungu wetu.
Mungu wetu ni mkuu Hakuna Kama yeye,Yale ayatendayo hakuna awezaye kuyatenda(Zaburi 86;8)
Yeye ni Mungu wa kuokoa (Zabr68;20).
Yeye ni mponyaji ( Jehova Rapha)
Yeye Ananguvu (Eligibo)
Yeye ni Mpaji( Jehova Jire)
Yeye ni Ushindi wetu(Jehova Jire)
Yeye ni Amani yetu (Jehova Shalom)
*LYRICS *
(Whispering worship words)
(Chorus)
Eeeeeee!
Sijawahi ona Mungu wa Namna hii…
Eeeeeee!
This Kind of God I never ever seen oooo
Verse1
Mungu Unae Inuaaa
Unaketisha na Wakuu
Wale walio onewaa
Umewafuta Machozi
Wale walioitwa Laanaa
Umebadili Majina
Ukiniona mimi Leoooo
Ni neema na rehema zake
(Chorus)
Eeee eee Sijawahi Ona Mungu wa Namna hii
( Eee eee Sijawahi Ona Mungu wa Namna hii) *2
Verse 2
Lalalalalaaa Alpha na Omega
Lalalalalaal Mwanzo tena Mwisho
Lalalalalalala Niko Ambaye Niko
Laalalalalaa….. aaaah..…..
You re the Rock of Ages
eeeee” Kila Goti kwako Linapigwa
(Chorus)
Eeee eeeeeh This kind of God I never ever seen ooo
( Eeeee eeeee This kind of God I never ever seen ooo) *2
Hata Magonjwa Yoteee
Kwako wewe Yana salimu Amri
(Aaamhh Aaammh Aaaamh)
Jehova nisi__Wewe ushindi wetu
(Aaamhh Aaammh Aaaamh)
Jehova Jiree—Wewe ni Mpaji wetu
(Aaamhh Aaammh Aaaamh)
Jehova Rafa—Wewe mponyaji wetu
(Aaamhh Aaammh Aaaamh)
Eligibo—— Unazonguvu nyingii
(Aaamhh Aaammh Aaaamh)
Verse 3
Jehova Shalom Sijui Nikusifu Vipi…
Eligibo sijui nikuabudu vipi…
Jehova Jiree sijui nikuambie nini…
Ukiponya Unaponyaga kwelikweli
Ukisamehe Unasamehe kweli Kweli
Ukiinua Unainua kwelikweli
Lalalalalalala Hakuna kama wewe Baba
Lalalallalaa Hakuna Kama wewe Babaa
Ukifuta machoziiii Unafutaga kwelikweli
Hakuna kama Wewe Baba
(Hakuna Kama Wewe Baba)*16
Alfa na omega
Mwanzo Tena mwisho
Hakuna kama wewe Baba
Hakuna kama wewe Baba
Lalalalalala
Lalalalalala
Hakuna Kama wewe Babaa
Hakuna kama wewe Babaa
Hakuna Kama wewe Baba
Hakuna kama wewe Baba
Lalalala
Lalalala
APPRECIATIONS
Music ; ModernsMusic
Mixing; Fresters
Video; Xaddagreat
Writter : Atosha Kissava
Follow me
Instagram: / atoshakissava
Facebook: / atoshakissav. .
For more information Bookings and etc :
Phone: +255719926175
Email: atoshakissava@gmail.com
Category
People & Blogs
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz