Перейти к содержимому

MRADI wa RELI ya KISASA SGR - MZEE PINDA AFUNGUKA MAZITO - "SIKU HIZI UMEKUWA NDIYO USAFIRI WANGU"..

Global TV Online

0:00 / 0:00

MRADI wa RELI ya KISASA SGR - MZEE PINDA AFUNGUKA MAZITO - "SIKU HIZI UMEKUWA NDIYO USAFIRI WANGU"..

1 060 просмотров · 1 год назад
Global TV Online
5,94 млн подписчиков
1 060 просмотров · 1 год назад
MRADI wa RELI ya KISASA SGR - MZEE PINDA AFUNGUKA MAZITO - "SIKU HIZI UMEKUWA NDIYO USAFIRI WANGU".. Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Mizengo Peter Pinda, amesema kuwa Tanzania imepata heshima kubwa kutokana na utekelezaji wa mradi wa Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR). Mradi huo, ambao ni wa kihistoria, unaleta manufaa makubwa kwa uchumi wa taifa na ni ishara ya maendeleo ya kisasa katika sekta ya usafiri wa reli. Aidha, Pinda amewashauri viongozi wa Shirika la Reli (TRC) kuhakikisha wanakuwa na wataalam wa kutosha watakaoweza kusimamia vyema mifumo ya treni za umeme na itasaidia kuhakikisha kuwa mradi unazalisha mapato mazuri, na hivyo kuchangia katika maendeleo endelevu ya sekta ya usafiri nchini. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx