Familia mbili Mombasa zatafuta wapendwa waliotoweka baada ya kukamatwa
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Familia mbili Mombasa zatafuta wapendwa waliotoweka baada ya kukamatwa
5 209 просмотров · 4 недели назад
Citizen TV Kenya
6,67 млн подписчиков
5 209 просмотров · 4 недели назад
Familia mbili huko Mombasa zinawatafuta wapendwa wao waliotoweka usiku wa Ijumaa.
Saidi Shaffi na Yasin Ahmed walikamatwa baada ya kuachiliwa na maafisa wa kupambana na ugaidi kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la kigaidi la ISIS nchini DRC.
Haya yanajiri huku mwanamume mwingine aliyekuwa amekamatwa nao akisimulia kile anachosema kilijiri usiku kabla ya kuachiliwa kwao.
Francis Mtalaki anaarifu.